Ezekiel 11:17-18

17 a“Kwa hiyo sema: ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Nitawakusanyeni kutoka mataifa na kuwarudisha kutoka nchi ambazo mmetawanywa, nami nitawarudishia nchi ya Israeli.’

18 b c“Watairudia nchi na kuondoa vinyago vyote vya upotovu na sanamu zote za machukizo.
Copyright information for SwhKC